Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.
Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
Iombee sana Tanganyika.
Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu".
Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache.
Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika.
Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS.
Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
Leo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma.....
Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati za hapa na pale yalishaanza.....
Ni Shem ambaye tulizoeana kwa kuwa mara kadhaa nilikuwa nikifika...
Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi,
Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS),
Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji.
Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto wanazopitia kwenye ukaushaji dagaa Domina Benedicto Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja ambacho...
Tuntufi alikuwa msichana mdogo mwenye akili sana aliyekulia katika kijiji kidogo cha Mtwara, kusini mwa Tanzania. Wazazi wake, Bi. Na Bw. Mwakasege, ambao wote walikuwa wakulima wenye bidii wa mazao ya nafaka na mboga mboga, walimfundisha thamani ya elimu kama njia ya kubadilisha maisha yao na...
Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake.
Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume.
Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa.
Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine.
Kwa kawaida nikiwa kijiweni(golini) kukusanya maokoto lazima nipitie sehem na mabest zangu kupata savanna 2...
Naam: Kiswali lugha adhimu iliyotukuka kwa semi za wahenga, nahau, methali, hadithi na vitendawili, Mmmh wataka kujua! nisikusimulie sana leo, kuna kitendawili kisemacho "Tega ni kutege" na jibu lake likawa " mwiba" Hahaaa😂 Sote twafahamu kuwa mwiba unachoma , wachoma wapi na saa ngapi? ajua...
Rais William Ruto ameapa kutumia nguvu zote alizonazo kuhakikisha maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika Jumanne wiki ijayo, hayatazidi kuwa machafuko na ghasia.
Hisia za Ruto zinafuatia hatua ya Muungano wa Azimio la Umoja kurejesha maandamano nchi nzima juu wakidai Kenya Kwanza kushindwa...
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
asali
chawa
cost
hadhara
kitendawili
mama samia
mbowe
mikutano
mikutano ya hadhara
nani
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
uwajibikaji
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania.
Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
Yesu wa Nazareth
WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo.
Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi ya wanazuoni wa dini na historia kuanzia Mashariki ya Kati, Amerika, Ulaya, Afrika na bado hadi leo...
Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana?
Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani...
Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri.
Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
Amani iwe nanyi
Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa na mpira ama wasipokuwa na mpira.
Nitaendelea sana kuongelea kasi/pace/speed ya wachezaji wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.