kitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitendawili cha wasiojulikana hatimaye kimeteguliwa na Spika Tulia?

    Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben Saanane kwa jinsi alivyokuwa anahoji sifa za Rais na Mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli (RIP)...
  2. SoC02 Jibu la kitendawili cha tatizo la ajira nchini kupitia mfumo wetu wa elimu

    Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
  3. M

    SoC02 Kitendawili cha utawala bora kwa watawala na viongozi wetu

    Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa, (national governance) lakini pia utawala wa mitaa (local governance). Utawala bora ni matumizi ya uwezo...
  4. SoC02 Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi Wahitimu wa Elimu ya Juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

    Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri. Wahitimu wa elimu ya juu...
  5. N

    Kitendawili cha nishati katika maeneo ya migodi, Je kubaki historia?

    Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
  6. Epl zimebaki siku 38 transfer deadline de jong atahamia wapi? Ni kitendawili

    Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona. Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na tabia. Namzunguzia Paul Pogba aina ya wachezaji kama Pogba wenye tabia za uchochezi timu inayofiki...
  7. Rais Samia atategua kitendawili kilichotegwa na Hayati Magufuli mkoani Kagera?

    KAGERA TUNAMPOKEA RAIS TUKIWA NA MATUMAINI NA FARAJA. Miaka 6 imepita tangu tulipopatwa na janga kubwa na la kihistoria katika Mkoa wetu TETEMEKO LA ARDHI wengi mnakumbuka tulipopatwa na janga hilo RAIS alimtuma Waziri mkuu baada ya mwaka mmoja Rais alikuja Kagera akatwambia serkali yake...
  8. Kitendawili cha DRC kuingia kwenye EAC kitategua au kuwavua nguo Rwanda na Uganda

    Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake. Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine. • On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
  9. First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  10. Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  11. Rais Samia alitoa Kitendawili, kama hadi sasa hujategua wewe hujui siasa

    Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.
  12. Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  13. Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  14. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  15. Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

    Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…