Hawa matapeli wa kopa faster ni hujuma au mpo nao na maisha nao?
Je, nikitengo ndani ya jeshi la polisi?
Kama sio je mnawafahamu? Mliwahi kuwasikia?
Nimeuliza kwa kuwa licha ya Watanzania kulia sana na kutapeliwa na hawa watu hakuna hatua nyie kama polisi mliwahi kuchukua au kuwakamata na...