Abraham Kithure Kindiki (born 17 July 1972) is a Kenyan politician and lawyer who is the Cabinet Secretary of Interior and Administration of National Government. He is the Deputy President nominee following the impeachment of the former Deputy President Rigathi Gachagua He represented Tharaka-Nithi County in the Kenyan Senate from 2013 until 2022.
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya.
Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi.
Kindiki anachukua...
Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4!
Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ametangaza rasmi Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais kupitia Gazeti la Serikali, licha ya kuwepo kwa amri ya mahakama iliyotolewa ili kusitisha mchakato huo. Hii inakuja wakati ambapo mvutano wa kisheria unaendelea kuhusiana na uteuzi huo, lakini Spika...
Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika.
Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto.
Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku.
Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura.
Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.