Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Katika kufunga Kuna faida zake
Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili
Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka
Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea...
Salaam, shalom!!
( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni...