Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina...
Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais).
Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi...
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.
Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.