kiti cha spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burundi yashinda kiti cha Spika wa EALA baada ya Sudan Kusini kujiondoa

    Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
  2. Dkt. Tulia anataka awe Spika wa Bunge lisiloweza kufanya chochote?

    Sijui kama ni unafiki, ulaghai, akili kidogo au tamaa, ambavyo huweza kumfanya mtu kuwa mtumwa wa ujinga. Hivi karibuni, Naibu Spika Tulia, mbele ya Rais wakati Rais akiwaapisha mawaziri aliowateua, alitamka wazi kuwa Rais na Serikali, ni kila kitu. Na kwamba, japo Bunge linaweza kuishauri...
  3. Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  4. K

    Uspika wa Job Ndugai umeshikiliwa na Mwenyekiti wa CCM; akimfuta uanachama kiti kinabaki wazi

    Wakuu, Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi ambapo ubunge wake ukitenguliwa. Ndugai anaweza kusitishiwa na kufurushwa uanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…