Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango, Ubungo.
Kitila Jimbo Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ubongo ambaye pia ni Waziri...
Wakuu
Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu!
==
Washiriki wa shindano la Kitila Jimbo Cup wakishindana kula mikate kwenye moja ya mchezo inayochezwa leo Feb 22.2025 kwenye...