Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?
Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai.
Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
bandari
dubai
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kitima
kitu
kuhusu
kujiridhisha
kuunga mkono
mambo
mambo muhimu
mikataba
mkataba
mkataba wa bandari
mkono
muhimu
padre
prof. mbarawa
tabia
tanzania
uwekezaji
viongozi wa dini
waache
wabunge
waziri
Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo huu ndio chanzo cha kesi iliyoamuliwa na mahakama ya rufaa na kuitalka SAUT ilipe fidia ya 30M...
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee.
Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa.
Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022.
"Msipo jirekebisha ninyi...
Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki?
Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021
Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini
==========
5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19
---
Catholic Bishops have now...