Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe).
Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe...
Habari za uzima
Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo
Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000
Kawaida Toka 12000-15000
Hivi hamna dini NYIE wauzaji
Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili.
Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo...
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA
Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA
GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto...
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo.
Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma.
Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa hili gonjwa la gout nikaamua bora nitafune mbuzikatoliki.
Nikakatiza mitaa miwili mitatu nikakumbana...
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k.
Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi za ajabu ajabu huko Ulaya wanakula hadi kitimoto kibichi kiitwacho(mett)?!
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji!
Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
Wasaalam.
Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli.
Nawasilisha.
Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.