Inasemwa kuwa eti mfalme mmoja aliekuwa na wake wawili wazuri alialika wageni nyumbani kwake. Akaagiza wachinjwe wanyama wa kila aina kutoka katika mifugo yake - mbuzi, ng'ombe, ngamia, kuku, bata, kondoo, nguruwe, nakadhalika.
Baada ya mapishi kuwa yamekamilika wake wa yule mfalme waligundua...