kitochi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Andazi

    Nahitaji Smart kitochi kiwe cha voda au all networks

    Nashida na haka kasimu nipo dar mwenye nacho au anaeuza tukutane budget yangu ndogo dondosha offer PM au hapa nitakufata PM
  2. Themoneyhollic

    AI Iliyogunduliwa na waTanzania, Ai ya kitochi yashindanishwa Google Ai for developers

    Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com 💣Usisahau kuweka number tukishinda kutakua na mkono wa shukrani
  3. nyumbani kwenu

    smart kitochi

    wakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
  4. Baba Rhobi

    Msaada Kitochi cha Tigo, kimestack on logo

    Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo. Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni mara ya pili kinarudia hili, mara ya kwanza kilitokea nikakipeleka kwenye Tigo shop yao Dodoma...
Back
Top Bottom