Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo.
Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni mara ya pili kinarudia hili, mara ya kwanza kilitokea nikakipeleka kwenye Tigo shop yao Dodoma...