Kutokana na kitongoji cha Dombwela kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kukubaliana kujenga ofisi mpya za kitongoji hicho, wananchi wamekubaliana kubadilisha sheria kwa watakaokuwa hawafiki kwenye mikutano ili irahisishe shughuli za ujenzi huo
Katika mkutano wa kitongoji hicho...
Waungwana salaam,
Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.
Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao...
Wanaukumbi.
⚡️ Vikosi vya Al-Qassam:
Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.
=========================
⚡️ Al-Qassam Brigades:
Footage...
Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya msingi Kizuka.
Lakini kitongoji hiki kinapakana na Kijiji cha Miembeni ambacho kipo takribani km 3...
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili
Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji
Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga
Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu
Yaani Leo Chauma uikute...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa...
UTANGULIZI
Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi.
HISTORIA YA ENEO
Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo liliteuliwa kuwa kambi ya kijeshi ya wapigania uhuru kusini mwa Afrika.
Mara baada ya shughuli kumalizika...
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.
Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.
Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja
Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali.
Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
MZEE KIUNYA ANAOMBA KUMUONA MHE RAIS: HAAMINI MACHO YAKE KUONA SHULE MPYA IKIJENGWA KWENYE KITONGOJI CHAO
Kijiji cha Kigera cha Musoma Vijijini kimepokea Tsh 348,500,000 (Tsh 348.5m) kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi mpya (Mradi wa BOOST) ambayo itakuwa ya pili, na...
SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI
Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini.
Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
Makama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 30 Mambo John (30) mkulima na mkazi wa kijiji cha Isengwa kwa kosa la kubaka.
John ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwanginde ilidaiwa kuwa katika nyakati tofauti kati ya Mwezi January na May 2023 huko...
Paul Simon Singi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisanda amehukumiwa kwenda jela Miaka 3 au kulipa faini ya Tsh. 750,000 kwa makosa ya kuomba rushwa ya Tsh. 800,000 na kughushi nyaraka kinyume cha Sheria.
Alifanya uhalifu huo Mei 22, 2023 kwa lengo la kumhalalishia Fabiano Daudi umiliki wa Ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.