#Copied
Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ambapo wengi wa waliozikwa ni Wajerumani.
Kati ya makaburi haya, kuna kaburi moja lenye mvuto wa kipekee, likiwa...