Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.
Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.
Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka...