Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia...