Kitumbua cha buku sehemu ya kwanza
STORY NA: Mbogo Edgar
Kijana Prosper alikuwa amejilaza kwenye mkeka, askipunga upepo wa na kufaidi kimvuri cha mti wa mwembe dodo mkubwa sana, uliopo pembeni ya kibanda kidogo cha bati,( full suit), ambao kwa kipindi hiki cha mwezi wa kumi na mbili, uwa...