Kitunda is a town and an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,428. The Soni Falls lie to the northeast of the town. The town gets its name from the Swahili word for the pawn in chess.
Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
Yaaan ukifika banana panda kwenda kivule aisee.
Kuna lami wamekula wajanja yaaan wanatengeneza vipande wanafika Sehemu ya Kilomita zaidi ya 7 hakuna njia mashimoo tupu.
Unakuta lamiii tena hawa watu sijui wamekubaliaje hii hali.
Hataree sana na inasikitisha kweli kweli maisha wanayoishi kama...
Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo.
Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka.
Nilipofika hapo wameandika huduma zao zinatolewa kwa saa 24, nilimpeleka Mtoto wangu ambayo alikuwa anachemka sana, nikaamini...
NYUMBA INAUZWA (LODGE)
Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM)
Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo)
Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public toilet, parking & fance.
✅Document: Hati Miliki Ipo
Contact 📲
0748270719
Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia;
1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara
2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC)
3. Tunafuatilia leseni, TIN, number
4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal
5. Maandalizi ya...
Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya.
Huduma zetu;
SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI)
BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi,
KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio...
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...!
Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja.
Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia.
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena.
Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu.
Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la Septemba 18, gari la askari Polisi na Kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
==============
POLISI YAKIRI KUTOKEA KWA TUKIO HILO
Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu...
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Sitting room (Kubwa)
Dining Room
Jiko kubwa
Stoo kubwa
Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
Mpangaji ataweza kufanya...
Leo natoka Kitunda barabara imechongwa na greda. Nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana tofauti na awali saa moja. Hongera endelea kuchonga kwenda Kivule, Mwanagati, Magole, Kibeberu.
Thanks and keep it up.
TARURA, TANROAD, LATRA, MKUU wa MKOA DSM.
Barabara ya Banana Mpaka kitunda Mwanagati,ni kero nzito kwetu,Wakina Mama waja wazito, Watoto wa Shule,wafanyabiashara na wakazi kwa ujumla.
Kuna km 1 ya Rami imeharibika,ipo kiwango Cha kokoto Sasa zaidi ya miaka mitatu, eneo Makaburini mpaka kitunda...
Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi.
Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.