TARURA, TANROAD, LATRA, MKUU wa MKOA DSM.
Barabara ya Banana Mpaka kitunda Mwanagati,ni kero nzito kwetu,Wakina Mama waja wazito, Watoto wa Shule,wafanyabiashara na wakazi kwa ujumla.
Kuna km 1 ya Rami imeharibika,ipo kiwango Cha kokoto Sasa zaidi ya miaka mitatu, eneo Makaburini mpaka kitunda...