kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  2. Dalali wa mjini

    Nauza eneo la kituo cha Gas

    Habari wakuu. Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas. Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo. Sqm 2000. Kwa mawasiliano Zaidi 0754693556
  3. Roving Journalist

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
  4. The Watchman

    Ujenzi wa kituo cha polisi kwa milioni 81 wakamilika Nkinga Tabora

    Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
  5. L

    UTEUZI: Susan Kaganda Balozi mpya wa Tanzania - Zimbabwe, Prof. Sanga apewa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Ambapo katika uteuzi huo ameweza kumpangia kituo cha kazi Suzan Kaganda kwenda Nchini Zimbabwe. Hi hapa taarifa ya ikulu👎
  6. Donnie Charlie

    Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  7. Kigger

    Kwa nini uazishe kituo cha online radio

    kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media. kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa azifuatilii au awatoi kipaumbele mfano nyimbo, makala na habari kwa undani pili ni kutangaza utamaduni wako...
  8. W

    Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  9. Ojuolegbha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
  10. Mi mi

    Kituo kinachofuata Taiwan napata mashaka

    Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee. Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya maslahi yake binafsi. Canada kazi ya marekani wameiona, Mexico wameiona, Denmark wameiona, umoja wa...
  11. P

    KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  12. L

    Heko kwa bodaboda wa Kituo Kipya Gongo la Mboto DSM

    Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza kuna nini hapa kusubiri kidogo naona treni ya SGR hii hapa Hongereni sana kujali uhai hasa kwa watoto...
  13. The Watchman

    Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  14. Wauzaji wa containers

    House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

    Kituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni . Price 8M - eight million per month Bei million nane Kwa mwezi Kina matenki matatu Diesel lita 25000 Petrol lita 25000 Diesel lita 9000 Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970 Call 0625085224 Kwa mazungumzo
  15. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope Unaweza Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Kwenye Magari na Bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  17. Sumu ya nyigu

    Kuhama kituo Cha kazi

    Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
  18. BigTall

    KERO Nauli katika Kituo cha Bajaj Ferry (Dar) zinapanda kwa kasi, Wananchi tunaumia, LATRA mdhibiti kinachoendelea

    Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
  19. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  20. BLACK MOVEMENT

    Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana. Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
Back
Top Bottom