Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana.
Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
Hili Soko la China linalojengwa pale Ubungo Msilichukulie poa kabisa mchina atauwa Biashara nyingi sana kuanzia za hawa Niagize china hadi Hawa Silent ocean ambao wanasafirisha mizigo ya watz kutoka china kuileta Tz maana China atakuwa na kampuni zake mwenyewe za usafirishajiusafirishaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.