Serikali imekamilisha ujenzi wa mradi wa kituo kikubwa Cha kibiashara na usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam.
Akizungumza Leo Machi 7, 2025 na waandishi wa Habari Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. @lazarotwange amesema kituo hicho...