Kila siku watu watatu mpaka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18.
Ofisi ya ustawi wa jamii kituoni hapo inasema kuwa wengi wao hutoka majumbani kwao na kuja Dar wakiamini kuwa ndo kuna maisha...