🔴 KITUO CHA MAFUTA KINAPANGISHWA BOKO, DAR ES SALAAM 🔴
Je, unatafuta fursa ya kuendesha biashara ya kituo cha mafuta katika eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika? Sasa unaweza kupata kituo cha kisasa cha mafuta kinachopangishwa katika Jiji la Dar es Salaam maeneo ya Boko kwa...
Kituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni .
Price 8M - eight million per month
Bei million nane Kwa mwezi
Kina matenki matatu
Diesel lita 25000
Petrol lita 25000
Diesel lita 9000
Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970
Call 0625085224 Kwa mazungumzo
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid.
Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako
Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa kupishana kama kawaida mapaka mpange folleni msubiriane jambo ambalo halikuwepo...huyu mwekezaji amesogeza...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za...
Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA.
Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara.
Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
Anonymous
Thread
hifadhi ya barabara
kituokituochamafutakituochamafuta hifadhi ya barabara
mafuta
morogoro
morogoro road
ujenzi wa kituochamafuta
Fahamu Kwa kina kuhusu ujenzi wa Kituo /vituo vya mafuta (petrol station ⛽) gharama zake, pamoja na process hasa kuhusu vibali vya ujenzi n.k.
Naitwa Ndama Matandiko najihusisha na ujenzi wa vituo vya mafuta pamoja na ushauri wa gharama za ujenzi , vibali vyake na aina ya eneo pamoja na faida...
Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya Wakazi wa Kawe katika Wilaya ya Kinondoni, hatimaye Kituo cha Mafuta cha 'Lake Oil' kilichokuwa kimejengwa karibu kabisa na makazi ya watu kimeanza kubomolewa.
Kituo hicho kilichokuwa karibu pia na stendi ya daladala ya Tanganyika Packers kilikuwa...
Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao.
Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata malori matatu ya mafuta ya Dizeli na Petrol yaliyokuwa yamefichwa kwenye Kituo kimoja cha mafuta cha GBP Mjini Tabora.
Inadaiwa kuwa yalikuwa kwenye mkakati wa kucheleweshwa wa lengo la kutengeneza...
Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
Ukistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.