Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani
Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote zinazohudumia kutoka ndani ya kituo kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji mpya anayetaka kuweka karakana ya mabasi...