Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...