Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii...