Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii.
Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa...