kiuno

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kiuno hana kisa chipsi kuku ya mapenzi

    Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake. Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
  2. M

    Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
  3. Bin Shaib

    Wapendwa naumwa kiuno

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo,,wapendwa me naumwa kiuno kimenisumbua sahizi Kama miezi miwili sasa. Umri miaka 29 CHANZO CHA TATIZO: Siku moja usiku nilikuwepo nyumbani basi nipo zangu nimetulia ndani mala panya akapita juu ya kench nyumba ni slope ,,nikawa nimechukuwa ufagio...
  4. Y

    Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
  5. L

    Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno

    Habari wana JF poleni na majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili...
  6. Baba Vladmir

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  7. S

    Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

    Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
  8. S

    Kutikisa kiuno ni urembo?

    Hivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
  9. HelcopterChopa

    Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

    Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji. Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima saizi ya kiuno chako kwa kuzungushia kiuno cha ile suruali shingoni mwako ili kujiridhisha kama...
  10. Tajiri wa kusini

    Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  11. W

    Jipatie back stretcher inayosaidia maumivu ya mgongo, pamoja na ukaaji mzuri kwa wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu

    Habari , Jipatie back stretcher ambayo husaidia kupunguza maumivu ya mgongo lakini pia kewezesha mwili kuwa katika mkao mzuri pale unapokaa. Hii ni nzuri na muhimu kwa ajilinya watu wanaosumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na wanaofanya kazi zinazowalazimu kukaa kwa muda mrefu. Bei ni Tsh...
Back
Top Bottom