Habari wakuu,
Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu sijaju shida ni nini.
Pili naomba kujua kwa undani zaidi kwa wenye uelewa nimekuwa ni muumini wa punyeto...