Wakuu
Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
Soma, Pia: Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari
DC ASEMA...
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina puuzwa au ipoje wakuu?
Watu wanawahi katika uzalishaji sasa wanakalishwa hapa je ingekuwa kivuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.