kivuko busisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Baada ya kivuko Busisi kuzingua, wananchi waruhusiwa kupitia katika Daraja la Magufuli na kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo

    Wakuu Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha. Soma, Pia: Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari DC ASEMA...
  2. KERO Kivuko eneo la Busisi na Kigongo ferry hakifanyi kazi 24hrs

    Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina puuzwa au ipoje wakuu? Watu wanawahi katika uzalishaji sasa wanakalishwa hapa je ingekuwa kivuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…