kivuko cha busisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kididimo

    KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  2. JanguKamaJangu

    KERO Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya

    Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki? Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu. Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri...
  3. Rusumo one

    KERO Kivuko eneo la Busisi na Kigongo ferry hakifanyi kazi 24hrs

    Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina puuzwa au ipoje wakuu? Watu wanawahi katika uzalishaji sasa wanakalishwa hapa je ingekuwa kivuko...
Back
Top Bottom