Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali.
Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa...
Baada ya kivuko kupata changamoto, wasajiriamali wamejiongeza, huu ndio usafiri wa dharura huko Kigamboni kwa ambao wanaona darajani ni mbali. Mitano tena
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho...
Songoro Marine ndio kampuni pekeee (local) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania (sijui walikuwa wanatumia mbinu gani)
Songoro Marine Mkazi wa Ilemela Mkoani Mwanza, ndiye aliyepewa kazi ya kutengeneza Meli mbili za Ziwa Nyasa, ambazo zilirudishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.