kivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  2. Uongozi wa Kivuko (Ferry) uchukue hatua za haraka kwenye usimamizi wa kushusha na kupakia

    Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli. Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki. Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa...
  3. Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
  4. Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

    Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
  5. S

    Dhana ya Local Content imeishia wapi? Kivuko kukarabatiwa nje ya nchi

    Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha nchi jirani wakati angepewa Songoro Marine ambaye ni mtanzania fedha zingezunguka Tanzania. Vijana...
  6. Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  7. Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  8. U

    Hali ya vivuko vya Kigamboni inazidi kuwa mbaya

    Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri. Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
  9. Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  10. Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
  11. Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  12. Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  13. TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  14. Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi

    Wakuu msije mkasema nina wivu, ila inaniuma kama mTanzania. Ipo hivi... Unapo shuka kuelekea kukata ticket kama mwenda kwa miguu, pale unakutana na mtoa huduma akiwa tayari amesha kata tickets nyingi na anachokifanya ni kukupa (abiria ticket) kisha anakupa na chenji yako na unaondoka. Baada ya...
  15. M

    Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

    Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj. Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero. Ina maana kila...
  16. Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida wakati navuka kati ya Feri na Kigamboni. Sijui kivuko ni kibovu ama vipi. Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi. Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida. Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli...
  17. Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  18. Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

    Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.
  19. Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  20. Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…