Kiwanda hicho ambacho ni mali ya serikali kwa sasa hakifanyi kazi kimeuzwa kwa thamani ya shilingi bilioni 3 wakati thamani halisi ya kiwanda hicho ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 157 kwa mujibu wa uthamini uliofanyika mwaka 2023.
Vile vile nyumba 4 zinazomilikiwa na kiwanda hicho...