Morogoro, 20 Februari 2025. Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo leo wameitembelea Kampuni ya Sukari Kilombero mkoani Morogoro ili kujionea maendeleo ya mradi wa kimkakati ya upanuzi wa kiwanda cha K4. Lengo la ziara hiyo likiwa ni kushuhudia uwekezaji huu...