Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu.
Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.