KIWANDA CHA MAPENZI
1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira
Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara
Na manyakanga mkupi, mje kupata amara
Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira
2 Kipo huko chumvini, mkoa Tanga mjini,
Mwachimba chini kwa chini, mkitafuta madini
Kazi hii ya thamani, na ghali...