Kutoa ajira 100 za mwanzo
Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri.
Hayo yameelezwa leo Aprili 17, 2021 na Waziri wa Madini...