Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu
ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli.
Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao.
Ebu fikirini...
Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio.
Kulingana na takwimu...
Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye.
Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
Wakuu,
Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba.
Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni muhimu sana kuelekeza macho nchi nyingine kama hizo,
Nadhani tusiendelee kukariri sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.