MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali...