Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui
Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center
Dakika 7 tuu mpaka goba centre
Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho
Kiwanja kina sqm 700
Ni corner plot
Kina njia kubwa pande mbili
Eneo limejengeka vizuri sana
Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu....
☎️ +255 699...
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.
Bei ni milioni 14
Nyaraka Serikali za mitaa.
Huduma zote za kijamii zipo
0762282526
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache.
Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.