Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.
Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
Kiwanja kipo 2Kms kutoka KIBADA kuingia barabara ya mtaani
Tayari kumejengeka na nyumba za kifahari
Eneo: 972 Sqm (Pameshapimwa na mawe tayari yameshawekwa)
Nyaraka: Mauziano ya Serikali ya mtaa
Bei: TZS. 25m
Mawasiliano: 0717 650800
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.