kiza

Seiza (正座 or 正坐, literally "proper sitting") is the formal, traditional way of sitting in Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Tenda wema uende zako

    Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba. ________________________________ Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba? Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno...
  2. Wimbo wa Matonya “bado ni kiza” ufanyiwe remix wakati wake muhimu ni sasa

    Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii...
  3. Z

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  4. Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
  5. Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  6. SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…