"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua nafasi kubwa, na kingine kilichofuata baada ya hayo.
Kizazi cha kabla ya 1985 kilikuwa cha...