watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni
nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko.
Mambo mengi...
Habari wana jamii..
Kwa ufupi tu ningependa tuongelee hii changamoto ambayo wengi pia waaifahamu na wanajua inaathiri vp jamii.
Tangu hapo mwanzo jamii imekuwa ikibadilika kizazi hata kizazi katika namna tofauti kulingana na nyakati nanamna ya kuishi katika nyakati husika. Kubadilika kwa vizazi...
Leo wakati mekaa sehem mida ya mchana pembeni yangu kuna baba mzee mtu mzima. Asa akapita kijana mmoja wa kiume amevaa kaptura fupi kama chupi alaf juu akavalia na taiti ambayo inaonesha ndani alaf chini akapiga bonge la buti kama yale mabuti wanaovaaga wazungu kipindi cha baridi 😂 mzee alianza...
Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye?
Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe halisi inabidi;
(a)kwanza serikali ihamasishe wananchi kutumia gesi kama nishati bora kwa matumizi ya...
Kwanza kikazi chetu ni kizuri kinaleta changamoto kwenye jamii na kuonyesha ma "gap" mengi ambayo hayajazibwa vizuri kwenye jamii.
Kinapima uwezo na utoshelevu wa malezi yenu (Millennials) Je, yanaweza kutumika katika nyakati tofauti tofauti maisha yakiwa yaendelea kubadilika kila siku.
Gen Z...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals zilienda na mafuriko. Wazazi tufungue macho, Masikio na midomo.
Niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!......
Awali ya yote napenda kujadili maada hii kwa Maslahi mapana ya Taifa.
👉Kizazi cha sasa na kijacho nchini Tanzania kinahitaji uongozi bora, elimu bora na fursa sawa za kimaendeleo kwa vijana. Pia, panahitajika kuwekeza katika...
Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya kukinzana na matakwa ya jukwaa hili zifuatazo ni hoja zinazoonyesha Matarajio au shauku ni kivipi...
Kuanzia miaka ya 1980's dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuwaji na harakati nyingi wa mtindo wa maisha yanakuwa ni wenye kubadilika, kwa mshangao mkubwa wazee wa sasa wanatuambia mambo yao ya zamani waliyokwishayafanya, serikali inapigia msrumari kuwa vijana wa sasa ni hovyo na hata...
TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
TUACHE KUJIPA MOYO, NDOA KWA KIZAZI CHA SASA NI GEREZA LA MATESO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani!
Soma Kwa Utulivu;
Linatesa Wanawake
Linatesa wanaume;
Lakini Kwa nini?
Ili ndoa iwe ndoa kweli sharti ifuate mfumo wa kizamani, hilo nimeshalieleza kila mara. Kwa sababu ndoa misingi yake...
Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi).
Vya kale...
Kwema Wakuu!
Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa.
Nakiri kuwa humu JF kuna...
Enzi hizo mtu anapotaka chakula, anaenda kwenye shamba la migomba, anatazama makumi ya mikungu ya ndizi na kuamua avune upi kwa chakula cha jioni cha siku hiyo. Karibu na shamba hilo kuna bustani ya viazi vitamu, bustani ya mihogo, viazi ulaya na mtama.
Upande wa kusini wa shamba la migomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.