Neno "Kizazi Z" hutumika kuelezea kizazi cha vijana waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2010. Sifa kuu ya rika hili la vijana ni matumizi ya teknolojia ya kisasa kwenye maisha yao ya kila siku kama vile simu za mkononi na mitandao ya kijamii. Hivi karibuni nchini...