Wakuu,
Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar.
Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi.
Hamna social media campaigns, matangazo ya...
Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi wake wa kupika chakula kwa kutumia nishati safi siku ya tarehe 8 Septemba 2024, na kuruka live...
1. Tuwe wakweli, Tamasha la Kizimkazi lilifana haswa. Wasanii kama wote, burudani ndo usiseme. Kwa sasa Kizimkazi Festival ndio Tamasha kubwa Afrika.
2. Hakika Dunia imeona ukarimu wa Wazanzibari. Inshallah tukutane 2025.
JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi.
Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.